Buluwgh Al-Maraam: Kitabu Cha Biashara: Mlango Wa Ruhusa Katika ‘Araayaa Na Kuuza Mashina Na Matunda
بُلُوغُ الْمَرام Buluwgh Al-Maraam كِتَابُ اَلْبُيُوعِ Kitabu Cha Biashara بَابُ اَلرُّخْصَةِ فِي اَلْعَرَايَا وَبَيْعِ اَلْأُصُولِ وَالثِّمَارِ Mlango Wa Ruhusa Katika ‘Araayaa Na Kuuza Mashina Na Matunda 712. عَنْ زَيْدِ بْنِ ثَابِتٍ رَضِيَ اللهُ عَنْهُ أَنَّ رَسُولَ اَللَّهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ وَسَلَّمْ {رَخَّصَ فِي اَلْعَرَايَا: أَنْ تُبَاعَ بِخَرْصِهَا كَيْلاً} مُتَّفَقٌ عَلَيْهِ وَلِمُسْلِمٍ: {رَخَّصَ فِي اَلْعَرِيَّةِ يَأْخُذُهَا أَهْلُ اَلْبَيْتِ بِخَرْصِهَا تَمْرًا، يَأْكُلُونَهَا رُطَبًا} Kutoka kwa Zayd bin Thaabit (رَضِيَ اللهُ عَنْهُ) amesema kuwa Rasuli wa Allaah (صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَآلِهِ وَسَلَّمْ) : “Ameruhusu katika ‘Aryaaaa [1] ziuzwe kwa kuzikadiria kwa kipimo.” [Al-Bukaariy, Muslim] Na katika Muslim imesema: “Ameruhusu katika ‘Ariyyah watu wa nyumbani wanazichukua kwa kuzikadiria na tende, na wale zilizoiva zikichumwa kutoka mtini.” 713. وَعَنْ أَبِي هُر