Watu ambao Allaah hatowatizama wala Kuongea nao siku ya Qiyamah. Hadiyth ya Kwanza Mzee Mzinzi, Mfalme Mwongo, na Masikini Mwenye Kibri عن أبي هريرة قال : قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: ((ثلاثةٌ لا يكلمهم الله يوم القيامة، ولا يزكيهم، ولا ينظر إليهم، ولهم عذابٌ أليمٌ : شيخٌ زانٍ، وملكٌ كذابٌ، وعائلٌ مستكبرٌ )) رواه مسلم . Imepokelewa toka kwa Abuu Hurayrah (Radhwiya Allaahu ‘anhu) ambaye amesema: Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: ((Wa tatu, Allaah Hatozungumza nao Siku ya Qiyaamah, wala Hatawatakasa, wala Hatawaangalia, na watapata adhabu iumizayo: Mzee mzinzi, mfalme mwongo, na masikini mwenye kibri)). [Imesimuliwa na Muslim] Faida na Sharh ya Hadiyth. ...
BismilLaahir Rahmanir Rahiim Assallaam Aleykum WarahmatulLaah Wabarakatuh Blog hii ya www.fisabilillaah2011.blogspot.com Imeanzishwa na Arabi Saidi Mandota Mwaka 1437 H sawa na Mwaka 2017 M,kwa lengo la kutoa mafunzo ya Kiislamu yaliyo Sahihi kwa kufuata Qur`an na Sunnah za Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na mwenendo wa Wema Waliotangulia bila ya kujiegemeza katika kundi lolote lile. Wasiliana nami Whatssap namba +255 714 974 397 WabilLaah Tawfiq