KIFO NI MAWAIDHA, MZAHA MSIBANI NI UJINGA Assallaam Aleykum WarahmatulLaah Wabarakatuh Naam anapofariki mmoja wetu ni wajibu wetu kutafakari, leo ni mwenzetu kesho ni mimi au wewe, zidisha mema, acha mabaya ili ukutane na Mola wako ukiwa salama. Utani hauna nafasi msibani tena ni haramu na ujinga ulio pindukia, kwa nini usitafakari yale anayo kwenda kukutana nayo mwenzako huko kaburini nawe ukaanza maandalizi?. Amesema Allah mtukufu. الَّذي خَلَقَ المَوتَ وَالحَياةَ لِيَبلُوَكُم أَيُّكُم أَحسَنُ عَمَلًا ۚ وَهُوَ العَزيزُ الغَفورُ Ambaye ameumba mauti na uhai ili kukujaribuni ni nani miongoni mwenu mwenye vitendo vizuri zaidi. Na Yeye ni Mwenye nguvu na Mwenye msamaha (Almulqu Aya ya 2) Mazingatio ya waja wema walio tangulia (Salafi) juu ya kifo. قال عمر رضي الله عنه كفى بالموت واعظا. Amesema Umar Allah amridhie,...
BismilLaahir Rahmanir Rahiim Assallaam Aleykum WarahmatulLaah Wabarakatuh Blog hii ya www.fisabilillaah2011.blogspot.com Imeanzishwa na Arabi Saidi Mandota Mwaka 1437 H sawa na Mwaka 2017 M,kwa lengo la kutoa mafunzo ya Kiislamu yaliyo Sahihi kwa kufuata Qur`an na Sunnah za Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na mwenendo wa Wema Waliotangulia bila ya kujiegemeza katika kundi lolote lile. Wasiliana nami Whatssap namba +255 714 974 397 WabilLaah Tawfiq