SWALI:
Je, kuna du'aa mahsusi iombwe wakati wa kutoa Zakaatul-Fitwr na ni du'aa gani?
JIBU:
AlhamduliLLaah
Hatujui du'aa yoyote mahsusi ipasayo kuombwa wakati wa kutoa (Zakaatul-Fitwr).
Kwahiyo Hakuna Dua'a Maalum inayoombwa wakati wa kutoa hiyo zakaatul Fitwr
[Fataawaa Al-Lajnah Ad-Daaimah (1204)]
Maoni