Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Septemba, 2018

Mchumba anachelewa kupeleka posa nyumbani

*Swali* Asalam alaykum, shekh :mm nna mchumba angu  lkn anakua mgumu kuja kuleta posa nymbani, jee? nimsomee dua gani ili aweze Kuja haraka maana ni cku nyingi tena naomba unisaidie unifahamishe ustadh. *Majibu* Wa Aleykum Sallaam WarahmatulLaah Wabarakatuh BismiLLaah wa AlhamduliLLaah was-Swalaatu wa Salaamu ‘alaa Muhammad wa ‘alaa  aalihi wa Aswhaabihil Kiraam, wa Ba’ad. *Maana ya Uchumba Kisheria* ✅Uchumba katika Uislamu ni pale *mwanamme anayetaka kuoa au jamaa zake au mtu yeyote aliyemwakilisha anapokwenda kwa wazazi wa msichana/Bint/Mwanamke* kuposa/kupeleka Barua na kukubaliwa. *✅Huo ndio unaitwa uchumba* ➡Ama kinyume na hivyo unakuwa ni urafiki baina ya mvulana na msichana. *Na hili katika Uislamu limekatazwa kwani ni Haramu* ✅Na hili limekatazwa kishari’ah. ➡Na hapo katika Swali lako umesema kwamba una Mchumba wako Lakini anakuwa mgumu *kuleta posa nyumbani* ina maana kuwa Huyo mwanaume *Kisheria si Mch...

Tashahhud inayofaa

*Katika Tashahhud inafaa Kusema “Assalaamu ‘Alaan Nabbiy” Badala ya Kusema “Assalaamu ‘Alayka Ayyuhan Nabbiy”..?* ✅Naam,  Inaonekana kulingana na swali lako hukumuelewa vizuri huyo ndugu aliyekuambiwa hayo kwani katika Tashahhud hakuna kusema *Swallu 'alan Nabiy*. Hakuna riwaya hata ya kutungwa ambayo inatueleza hilo. ➡Hata hivyo, inaonyesha kuwa katika kuandika au kusikia ima ulisikia au uliandika makosa badala ya Assalaamu 'alan Nabiy ukasikia au ukaandika Swallu 'alan Nabiy. ➡Hili tamko ambalo umeliandika mara nyingi hutumiwa na baadhi ya watu katika mihadhara na mawaidha wakitaka kuwarudisha watu katika kusikiliza mawaidha kwa kusema Swallu 'alan Nabiy, ingawa haya ni mambo yasiyothibiti na yasiyo na dalili. Kwa hiyo, tutajaribu kukuelezea kwa mujibu wa haya marekebisho ambayo tumeyafanya ili kuwe na faida kwa wasomi wa tovuti hii yenu. ✅Uislamu  kama ulivyo umewekewa vitu sahali na vyepesi kwa maslahi yetu ...

Masiyh Dajjal

Assallaaam Aleykum WarahmatulLaah Wabarakatuh Maana ya neno Masiyh (Masiya):   Kuna zaidi ya maoni hamsini ya kiwanazuoni yenye maana ya Masiyh. Wanasema kwamba neno hili linatumika sehemu zote kwa Aliyemkweli [Masiyh wa Kweli, yaani (Yesu)] na mpotoshaji aliye muongo [dhidi ya ‘Kristo’ ama Dajjaal]. Masiyh ndiye Mkweli, ‘Iysaa bin Maryam (Yesu mwana wa Mariyamu), Masiyh wa uongofu, aliyewaponya wale waliozaliwa vipofu ama viguru, na kuwafanya wafu kuwa hai kwa uwezo wa Allaah. Masiyh wa kuigiza (al-Masiyh ad-Dajjaal) ni muongo anayewaongoza watu kwenye uovu, Masiyh wa upotovu atawadanganya watu kwa namna alizojaaliwa, kama vile kuteremsha mvua, kuihuisha ardhi na kuifanya kuchipua mimea, na ‘miujiza’ mengineyo. Kwa hivyo, Allaah Amewaumba Masiyh wawili, ambao mmoja wao ni tofauti kwa mwengine. Wanazuoni wanasema kwamba sababu ya kwanini Dajjaal akaitwa Masiyh ni kwasababu moja kati ya macho yake ni  mamsuuh  (kimaana ni ‘lililo f...

Swalah ya Sharuuq au Swalah ya Dhuhaa?

*Swalah ya Shuruuq ni sawa na Swalah ya Dhwuhaa* ✅Naam, Swalaatush-Shuruuq au Swalaatul-Ishraaq (Swalah baada ya kuchomoza jua). ➡Kutokana na fadhila zake kwamba⤵ ((عن أنس عن النبي صلى الله عليه وسلم ، أنه قال : من صلى الفجر في جماعة ثم قعد يذكر الله   حتى تطلع الشمس ثم صلى ركعتين كانت له كأجر حجة وعمرة تامة ...

Fanya Ibadah kwa Wakati

*Fanya Ibadah kwa Wakati, Usipuuze* ✅Allaah (Subhaana wa Talaa) katika Surat An-Nisaa Aya ya 103 Anasema kwamba⤵ فَإِذَا قَضَيْتُمُ الصَّلَاةَ فَاذْكُرُوا اللَّـهَ قِيَامًا وَقُعُودًا وَعَلَىٰ جُنُوبِكُمْ ۚ فَإِذَا اطْمَأْنَنتُمْ فَأَقِيمُوا الصَّل...

Maana ya Tawhiyd na Aina za Tawhiyd

بِسْمِ الله الرَّحْمنِ الرَّحِيم الْحمْدُ لِلَّه وَالصَّلاةُ وَالسِّلامُ عَلى خَاتم الأنْبِيَاء وَالْمُرْسَلِين، الْمَبْعُوثُ رَحْمَةً لِلْعَالَمِين، مُحَم...