Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti, 2017

Madhara Ya Ghiybah (Kusengenya) Na An-Namiymah (Kufitinisha) -Sehemu ya 12

Madhara Ya An-Namiymah (Kufitinisha ) - Vipi Kutibu An-Namiymah?   Mafunzo yafuatayo yataweza Inshaa-Allaah kutibu maovu ya An-Namiymah ikiwa yatatekelezwa na inampasa kila mwenye tabia hii haraka ajifunze ili kujiepusha na maouvu haya yanayosababisha ufisadi na chuki baina ya ndugu Waislamu. Tutambue kuwa hii ni moja wapo ya jihadi ya nafsi kwa kujiepusha na maovu yanayoamrishwa na nafsi, ambayo ni jihadi  bora kabisa na itamuweka Muislamu katika Ridhaa Ya Mola wake Mtukufu. Amesema Mtume (Swalla-Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) kupitia usimulizi wa Fadhwaalah bin ‘Ubaydullaah (Radhiya Allaahu ‘anhu):   (( ألا أخبركم بالمؤمن؟ من أمنه الناس علىأموالهم وأنفسهم، ...

Madhara Ya Ghiybah (Kusengenya) Na An-Namiymah (Kufitinisha)

Madhara Ya An- Namiymah ( Kufitinisha ) - Sababu za Kufitinisha , Sifa Za Mfitinishaji -Sehemu ya 11     Kufitinisha baina ya watu ni jambo ovu linalochukiza mbele ya Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) Ambaye Ametuamrisha tuepukane nalo kamaAnavyosema:   ((وَتَعَاوَنُواْ عَلَى الْبرِّ وَالتَّقْوَى وَلاَ تَعَاوَنُواْ عَلَى الإِثْمِ وَالْعُدْوَانِ))   ((Na saidianeni katika wema na ucha Mungu. Wala msisaidiane katika dhambi na uadui)) [Al-Maaidah :2]     Vi...

Madhara Ya Ghiybah (Kusengenya) Na An-Namiymah (Kufitinisha) -Sehemu ya 10

Madhara Ya An-Namiymah ( Kufitinisha ) - Maana , Hukumu Na Adhabu Zake     Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala):     ((وَلاَ تُطِعْ كُلَّ حَلاَّفٍ مَّهِينٍ)) ((هَمَّازٍ مَّشَّاء بِنَمِيمٍ))  ((مَنَّاعٍ لِّلْخَيْرِ مُعْتَدٍ أَثِيمٍ))     ((Wala usimtii kila mwingi wa kuapa wa kudharauliwa)) ((Mtapitapi, apitaye akifitini)) ((Mwenye kuzuia kheri, dhaalimu, mwingi wa madhambi)) [Al-Qala...

Madhara Ya Ghiybah (Kusengenya) Na An-Namiymah (Kufitinisha) -Sehemu ya 9

Madhara Ya Ghiybah - Hali Zinazoruhusu Ghiybah       Tumebainishiwa katika Shari’ah yetu ya Kiislamu kuwa ziko hali zinazojuzu Ghiybah kwa sababu ya maslaha yanayopatikana. Nazo ni kama ifuatavyo:     1-Kupinga dhulma ya Qaadhi au Kiongozi au kuzuia dhulma isitendeke     Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala):   ((لاَّ يُحِبُّ اللّهُ الْجَهْرَ بِالسُّوَءِ مِنَ الْقَوْلِ إِلاَّ مَن ظُلِمَ)) ((Allaah Hapendi uovu uenezwe kwa maneno ila kwa mwenye kudhulumiwa))[An-Nisaa: 148].         2-Katika kush...

Madhara Ya Ghiybah (Kusengenya) Na An-Namiymah (Kufitinisha) -Sehemu ya 8

Madhara Ya Ghiybah - Kafara ( Fidia ) Ya Ghiybah     Ghiybah ni madhambi ambayo yanayomharibia mtu amali zake njema na kujazwa dhambi za yule anayemsengenya na hatimaye kumuangamiza motoni. Hivyo inampasa Muislamu mwenye tabia ovu ambayo ni hatari kwake, haraka afanye kafara ya maovu hayo. Kafara yenyewe ni kama ifuatavyo:     Kutubu   Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala):       ((يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا تُوبُوا إِلَى اللَّهِ تَوْبَةً نَّصُوحًا))     ((Enyi mlioamini! Tubuni kwa Allaah toba iliyo ya kweli!)) [At-Tahriym: 8]   ...

Madhara Ya Ghiybah (Kusengenya) Na An-Namiymah (Kufitinisha) -,Sehemu ya 7

Madhara Ya Ghiybah - Vipi Kujiokoa Na Kuokoa Jamii Kutokana na Ghiybah Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala): ((وَإِذَا رَأَيْتَ الَّذِينَ يَخُوضُونَ فِي آيَاتِنَا فَأَعْرِضْ   عَنْهُمْ حَتَّى يَخُوضُواْ فِي حَدِيثٍ غَيْرِهِ وَإِمَّا يُنسِيَنَّكَ   الش...

Madhara Ya Ghiybah (Kusengenya) Na An-Namiymah (Kufitinisha) -Sehemu ya 6

Madhara Ya Ghiybah - Sababu Za Kutendeka Uovu Wa Ghiybah   1-Kuambatana na marafiki waovu        Moja ya sababu inayosababisha kutenda maasi ya Ghiyba ni kuambatana na marafiki waovu wasiomkhofu Mola wao kwani rafiki muovu humuathiri mwenziwe kwa yale anayoyatenda. Mfano mzuri ametupigia  Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam)   عن أبي موسى الأشعري رضي الله عنه أن النبي صلى الله عليه وسلم قال: (( إنما مثل الجليس الصالح و جليس السوء ك...

Madhara Ya Ghiybah (Kusengenya) Na An-Namiymah (Kufitinisha)

Madhara Ya Ghiybah - Kuharamisihwa Kwake Na Na Adhabu Zake Katika Sunnah   Baada ya kujikumbusha makatazo na adhabu za Ghiybah katika Qur-aan, tukaona jinsi gani maovu haya yalivyokemewa na Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala), tunaendelea kutaja makatazo yake na adhabu zake katika Sunnah:     عن أبي بكرة رضي الله عنه أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال في خطبته   يوم النحر بمنى في حجة الوداع: (( إن دمائكم، واموال...

Madhara Ya Ghiybah (Kusengenya) Na An-Namiymah (Kufitinisha) -Sehemu ya 4

Madhara Ya Ghiybah - Kuharamishwa Kwake Na Adhabu Zake Katika Quraan   Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala): ((وَلاَ تَقْفُ مَا لَيْسَ لَكَ بِهِ عِلْمٌ إِنَّ السَّمْعَ وَالْبَصَرَ وَالْفُؤَادَ كُلُّ أُولئِكَ كَانَ عَنْهُ مَسْؤُولاً))   (( Wala usifuate   ( ukipita ukisema au kuyafanya ) usiyo na ilimu ( ujuzi ) nayo . Hakika masikio ...

Madhara Ya Ghiybah (Kusengenya) Na An-Namiymah (Kufitinisha) -Sehemu ya 4

Madhara Ya Ghiybah - Kuharamishwa Kwake Na Adhabu Zake Katika Quraan   Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala): ((وَلاَ تَقْفُ مَا لَيْسَ لَكَ بِهِ عِلْمٌ إِنَّ السَّمْعَ وَالْبَصَرَ وَالْفُؤَادَ كُلُّ أُولئِكَ كَانَ عَنْهُ مَسْؤُولاً))   (( Wala usifuate   ( ukipita ukisema au kuyafanya ) usiyo na ilimu ( ujuzi ) nayo . Hakika masikio ...

Madhara Ya Ghiybah (Kusengenya) Na An-Namiymah (Kufitinisha) -Sehemu ya 3

Madhara Ya Ghiybah - Maana Ya Ghiybah , Tofauti Baina Ya Ghiybah , Buhtaan Na Ifk   Maana ya Ghiybah:   Kilugha:  Kila kilichokuwa hakipo mbele yako. Na imeitwa Ghiybah kwa kutokuweko anayetajwa wakati anapotajwa na wengine.    Kishari’ah: Kumsengenya mtu asiyekuwepo kwa mambo ambayo atachukia kuyasikia. Na maana yake ametujulisha Mtume (Swalla Allahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) alipowauliza Maswahaba:   ((   أتدرون ما الغيبة؟))   قالوا: الله ورسوله أعلم؛ قال:(( ذكرك أخاك بما   يكره  ...))   ((Je mnajua maana ya  Ghiybah ? [Kusengenya])) Wakasema: Allaah na Mjumbe Wake wanajua. Akas...